Ni Kuwa #1 digitali hospitali ambayo inatoa athari kwenye huduma za afya na taaluma ya kuboresha maisha kwenye masoko yaliyo kua na yanayo kua ifikapo 2025.
Kuongeza uwezo wa kiafya na kimatibabu na fursa kwenye na masoko yanayo kua
Kwa sababu ya uzoefu binafsi wa moja ya mwanzishaji! Tulikuwa karibu tumpoteze Laetitia kwa sababu ya utambuzi usio sahihi. Alikuwa anatibiwa ugonjwa wa matumbo(Typhoid), lakini aliugua Malaria. Masaa kadhaa baada ya kuanza matibabu ya Typhoid, mwili wake uliitikia madawa vibaya katika madakitari walio kuwepo hapo hakuna aliye jua kwa nini hiyo imetokea. Bahati nzuri tulimjua mkunga mmoja wa jirani mwenye sifa nzuri ya matibabu. Tukampata na aliweza kuingilia kati na kuhakikisha kuwa utambuzi sahihi na madawa sahihi yametolewa, ambayo yalisaidia kubadili hali ya mgonjwa. Hili tukio moja linaongea mambo mengi muhimu kuhusu mfumo mzima wa huduma za matibabu ya kijamiihi. Baada ya utafiti zaidi tuligundua kuwa hili ni tatizo linalo zipata nchi zote zinazo endelea.
Patricia Monthe
Tunafanya kazi kwa bidii kuwa na huduma ya vituo vya afya,huduma ya dispensali na huduma za hospitali zikihusishwa kwenye misingi iliyopo sasa. Tunategemea kuwa na uendeshaji ulio kamilika ifikapo 2017.
Tunawalenga
Sisi ni jukwaa linalo hudumia uhitaji wa taaluma ya muundo wa matibabu kwa pamoja na uwezeshaji wa kuweka bei na uwezeshaji wa muundo wa malipo ili kuokoa maisha ya mmoja mmoja na familia kwenye ulimwengu unao jitokeza.
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Bonyeza kwenye linki chini inayoelezea mchakato. Ni rahisi kama:
Kwa sasa tuna aina tatu ya miundo ya malipo kwa ankara za matibabu:
GP (General Practitioners) na wataalamu wengi ambao wapo kwenye jukwaa letu.
Matukio ya kitiba ya kitaifa na kimataifa,vichapisho vinavyo elezea mada za magonjwa, madawa,migogoro ya kitiba na tafiti za karibuni na ukuzwaji wake.
Kila mmoja anaweza kuandaa vichapisho, matukio na kushirikisha wengine.
Kama ukiwa ndugu ya:
Unaweza mara zote kutumia jukwaa kwa kusaidia ndugu kwa maarifa, kifedha,na huduma za kimatibabu
Kwa kuwa nchi nyingi zinatumia malipo ya hapo kwa hapo ya matibabu( Bila malipo - Hakuna matibabu). Hii inafanya kila mmoja anaweza kuchangia muda wowote na mahali popote. Tumeuandaa huu mchakato ili kuhakikisha kila mmoja anaweza kupata matibabu muda wote.
Mchakato ni rahisi kwa kubonyeza kwe MEDx salio na kuongeza fedha au kuuliza ndugu kukulipia kila mwezi au kila juma.
Kwa sasa tunatoa ushauri wa kiafya unao husu mwili na kuulizia ushauri wa pili kwa mbali. Tumepanga kutoa ushauri kupitia maandiko na video muda ujao
Ndio unaweza. Mfumo wetu upo salama. Hata hivyo tunakushauri kila mara uwe makini na mtu unaye mpa taarifa zako. Dakitari wako kila mara atahitaji ruhusa yako kabla hajatumia taarifa ya tiba zako.
Hapana, Lazima wapate kibali chako kabla hawaja tumia taarifa zako
Tafadhali, tumia chumba cha maongezi mtandaoni( chat room) au tumia fomu ya kuwasiliana nasi iliyopo kwenye mtandao
Tafadhali husisha:
Rahisi kwa kuunda jalada la mtoa huduma kwa kujiunga kama mtoa huduma (hakikisha kuwa huja jiunga kama mtafuta huduma).
Unaweza kutumia mfumo wetu wa kutafuta; huu upo upande wa juu wa ukurasa.
Mara moja ukurasa unao takiwa wa wataalamu wa tiba unapofunguka: chagua fanya ahadi, halafu fuata maelekezo mpaka ahadi yako imewekwa kwenye historia ya ahadi.
Hapa. Ahadi zilizoko kwenye historia ya ahadi inamaana kuwa kuna nafasi kwenye kalenda ya wataalamu wa tiba, pia inamaana kuwa mtafuta huduma au ndugu zake wamesha lipia gharama zake za matibabu.
Ndio, wote muda wote wanaweza kuhairisha; lakini soma utaratibu wetu wa kuhairisha ili kuleta maelewano kwa pande zote' haki zenu Taratibu za kuhairisha
Linki ya kuongeza
Tafadhali angalia MEDx salio lako.
Ndio. Tuna wahamasisha rika kwa rika kushirikisha maarifa yao. Tafadhali jisikie huru kushirikisha wazo na maoni ya kitiba au matukio yanayo endelea kukuzunguka.
Hii ni rahisi kama kuchagua mtoa huduma na kuwasilisha maombi kutoka kwa mtoa huduma kama maoni ya pili na sio ushauri. Kumbuka mara kwa mara kushirikisha taarifa zako za tiba na historia ya ushauri kabla huja kutana na mtoa huduma wa maoni ya pili.
MEDx wanatumia IBM program na ni imara kwa mazingira ya kuhakikisha usalama na kasi kwa watumiaji wetu.