Huduma hii huwapa Wataalamu wa Tiba katika maeneo mbalimbali uwezo wa kuunda taarifa zao zenye kuonekana kwa mamilioni ya watafuta huduma za tiba na au wasafiri.
Ni muhimu kwa wataalamu wa Tiba kushirikisha muda, ada,na mahali wapatikanapo kwa watafuta huduma kwa kuweka ahadi.
Huduma ya Fedha
Kwa mchakato ulio rahisi MEDx inao, sasa inawezekana kwa kila mmoja kuchangia na kufadhili matibabu kama vile:
Maombi ya ufadhili kwa kupitia mail au sms.
Bajeti ya Mwezi.
This service enables users to:
Know the cost of medical services and treatments in advance.
Request funding from a relative if they do not have enough money to pay their medical bills.
Manage their transactions and healthcare allowance and easily predict the cost of their treatment.
Send funds to support medical expenses of other family members.
Address the culture of ‘no money, no service’ ruling access to healthcare services in some countries, by having evidence of a payment guarantee..
Have a medical wallet at all times and conveniently pay for healthcare services, even at unexpected times.
Feel reassured and more confident of their ability to access and afford healthcare services at all times.
Feel attended to in their times of need, because they can pay for medical services.
Vifaa vya Matibabu
Kwa utendaji huu, tunawakaribisha wote Wataalamu wa Tiba na Watafuta huduma za tiba kuunda na kushirikisha uzoefu wao wakimatibabu katika vipeparushi, tafiti, maoni, na matukio ya kimatibabu.
Usimamizi wa kujitunza
Kila mmoja anaweza muda wowote kuomba ushauri wa kitaalalmu wa matibabu wa kimataifa au kitaifa, ushauri wa upande wa pili au kufuatilia ili kupata utambuzi na maelekezo ya tiba.
Usimamizi wa Huduma za Familia
MEDx inaamini kuwa viashiria vijulikanavyo vya kiafya hubebwa katika vizazi vyote. Kwa hiyo, tunatoa kipengele hiki ambacho kinakupa wewe nafasi ya kuongoza taarifa za familia yako katika ngazi nyingi.
Rekodi ya matibabu ya portable
Kwa kipengele hiki, taarifa zako za tiba muda wote zinafikika kokote unako safiri na unaweza kumshirikisha yoyote unaye mwamini.